Home + Ethical Trade about ETI activities events resources
ETI logo - click for Home Page Randomly generated header image
Google logo
this site:

“Codes of labour practice must have a champion – preferably someone at board level – to drive the company’s commitment from the very top. But this is no substitute for allocating day-to-day responsibility for implementing ethical trade policies.”
— ETI Workbook, 2nd Edition

members only
login  • site map • contact • help  es
SIMPLE SITE - click for Home Page with menus

RIPOTA ZA ETI 2005

mwongozo wa ETI kwa wakulima wadogo
mapendekezo ya kufanya kazi na wakulima wadogo

Mwongozo huu unatoa mashauri na zana za Kufanyia kazi zilizopendekezwa na kundi la mradi wa wakulima wadogo wa ETI kwa ajili ya wale wanaofanya kazi katika mtungo wa ugavi wa bidhaa zitokazo kwa wakulima wadogo. Mwongozo wenyewe unalenga kutoa ushauri wa jinsi wauzaji wa rejareja, wanunuzi, wakulima wadogo na wengineo wanaweza kuchukua hatua za kuboresha kazi ya wakulima wadogo. Lengo kuu ni kujaribu kufikia utekelezaji wa viwango vinavyokubalika kimataifa kuhusu ukulima mdogo, na hasa, vile vya mfumo wa kimsingi wa kanuni za ETI.

Kuhusu Mwongozo Huu | Yaliyomo | downloads

The information on this page is intended to help you assess the appropriateness of the guidelines for your purpose before you download them. Should you need further introductory information, please
download Sura 1: Kuhusu mwongozo huu [PDF, 510kb].

image from cover image from cover image from cover

 

Kuhusu Mwongozo Huu

 

Hadhara lengwa ya mwongozo huu

Mwongozo huu unakusudiwa kutumiwa na makundi mbalimbali yanayohusika na mtungo wa kimataifa wa ugavi wa bidhaa zinazotoka kwa wakulima wadogo. Kimsingi, mwongozo huu unalenga wahusika wa biashara muhimu kwa mitungo hii ya ugavi. Vilevile unasheheni sehemu za kutumiwa na makundi yasiyo ya kibiashara, kama vile vyama vya wafanya kazi na mashirika yasiyo ya kiserikali yanayohusika katika uboreshaji wa viwango vya kazi kwenye uwanja huu. Mwongozo huu uliasisiwa na wanachama wa ETI, hasa kwa ajili ya wanachama wengine, lakini pia unalengwa kufaidi sehemu kubwa kati ya wasio wanachama, hasa:

Vilevile mwongozo huu utawavutia wanataaluma wanaoshughulikia masuala ya ukulima mdogo.

Kwa nini tunahitaji mwongozo huu

Utumiaji wa mfumo wa kanuni za kazi kwa wazalishaji wadogo wa kilimo ni suala muhimu na lenye utata miongoni mwa wauzaji rejareja na wanunuzi pamoja na vyama vya wafanya kazi na mashirika yasiyo ya kiserikali yanayohusika na shughuli za haki za wafanya kazi. Utafiti na tajriba za wanachama umeonyesha kuwa wakulima wadogo na wafanya kazi wao huwa mara kwa mara wanajipata katika masharti maghumu na na hali duni kikazi.

Wakati huohuo, wakulima wadogo wanaonekana wanaongezeka katika mitungo ya kimataifa ya ugavi ya wanachama wa ETI. Kiwango ambacho masoko hutegemea bidhaa kutoka mashamba madogo kinatofautiana kulingana na bidhaa, lakini kwa bidhaa zingine, kama vile, kahawa, wakulima wadogo ndio wanaokuza kiasi kikubwa zaidi kinachouzwa katika masoko ya ulimwengu. Katika nchi nyingi zinazoendelea, mashamba madogo ndiyo kitengo cha kikuu cha uzalishaji wa kilimo.

Hata hivyo, licha ya umuhimu wao katika mitungo ya ugavi, wakulima wadogo wanatoa changamoto mbalimbali kwa wauzaji rejareja na wanunuzi waliojitolea kutekeleza kanuni za kazi. Changa moto hizi ni pamoja na:

Kwa hivyo, kuna haja kubwa ya ushauri maalum na vilevile zana za kazi za kutumiwa na wale wanaohusika katika nyanja mbalimbali za mitungo ya ugavi ili kuwawezesha wote kuboresha hali za kikazi za wakulima wadogo. Mwongozo huu unanuia kutoa msaada huo.

Hadhi ya mwongozo huu

Mwongozo huu ni kipengee cha jukumu linaloendelea. Wanachama wa kampuni ya kundi hili wananiua kuutumikisha mwongozo huu katika mitungo yao ya ugavi wa mazao tofautitofauti katika nchi mbalimbali. Matumaini yetu ni kutumia mafunzo yatakayopatikana kusahihisha mwongozo huu na kutayarisha toleo la pili hapo mwaka wa 2006. Utafiti kuhusu Kenya unaorejelewa hapo juu, umechangia kubuni mwongozo huu. Yatupasa kutaja kuwa mwongozo huu umeandikwa kwa ujumla. Kwa hivyo, utahitaji kubadilishwa na watumiaji tofautitofauti ili uyafae mahitaji yao mbalimbali.

 

Download the guidelines

You may choose to download the entire document (or entire toolkit) from the first box below or select particular chapters to download individually. The links below give you the main chapter headings and indicate for whom they are primarily written. Please note that many of these are very large downloads - before choosing, you may wish to follow this link to view the detailed table of contents.

Smallholder guidelines cover

The printed report and toolkit in full:

mwongozo wa ETI kwa wakulima wadogo (complete, including Toolkit) [PDF, 7.5MB]

The toolkit (only) in full:

Mwongozo wa ETI kwa wakulima wadogo - Zana za kazi (sura 9) [PDF, 3.8MB]

Additional toolkit downloads:

MS Word documents for your use:

 or...

Click to download individual chapters

Chapter name is followed by an indication of file size & primary target audience.

Huu mpangilio wakusudiwa kufaidisha yeyote kutambua kwa urahisi sehemu za kitabu ambazo ni za maana kwake:

  1. Kuhusu mwongozo huu [PDF, 510kb, Watumizi wotei]
  2. Usuli: Wakulima wadogo na mtungo wa ugavi [PDF, 371kb, Watumizi wotei]
  3. Insi ya kutumia mwongozo huu [PDF, 355kb, Watumizi wotei]
  4. Yale ambayo wauzaji wa rejareja wanaweza kufanya [PDF, 298kb, Wauza wa rejareja]
  5. Yale ambayo wanunuzi wanaweza kufanya [PDF, 271kb, Wanunuzi]
  6. Yale ambayo wakulima wadogo wanaweza kufanya [PDF, 325kb, Wakulima wadogo]
  7. Yale ambayo vyama vya wafanya kazi vinaweza kufanya [PDF, 325kb, Vyama vya wafanya kazi]
  8. Yale ambayo mashirika yasiyo ya kiserikali yanaweza kufanya [PDF, 21kb, Mashirika ambayo si ya kiserikali]
  9. Zana za kazi [also available in one PDF above]
    1. wadogo Kutumia mfumo wa kimsingi wa kanuni wa ETI kwa wakulima wadogo [PDF, 562kb, Watumizi wotei]
    2. Zana za makadirio ya mahitaji na vipaumbele [PDF, 735kb, Watumizi wotei]
    3. Kutumia mfumo wa utekelezaji kukadiria hali za kikazi za wakulima wadogo na wafanya kazi [PDF, 88kb, Watumizi wotei]
    4. Sampuli ya barua na hojaji za wauzaji wa rejareja kwa wagawaji [PDF, 108kb, Watumizi wotei]
    5. Sampuli ya hati kwa wakulima wadogo na wale wanaonunua moj kwa moja kutoka kwao [PDF, 141kb, Watumizi wotei]
    6. Kufanya kazi ili kuboresha maisha: Yale ambayo wakulima wadogo wanahitaji kufahamu [PDF, 1.8MB, Watumizi wotei]
    7. Kitabu cha picha kitakachotumiwa na wakulima wadogo [PDF, 552kb, Watumizi wotei]
    8. CD-ROM ya mwongozo na zana za kazi [PDF, 84kb, Watumizi wotei]
    ...plus additional Toolkit downloads - MS Word documents for your use:

Please note that page numbering in some PDF files may not correspond exactly with that used in the printed version and shown on the contents pages. This has deliberately not been corrected, to ensure that the documents print correctly in certain older software versions. When using the contents pages, please refer to the page numbers shown at the foot of each page, not those generated by the software.

Picking beans in Kenya

CD-ROM Photobook:

This is too large a file to make available online. It is available on CD-ROM on request - please contact ETI.

 

See also:

ETI Activities: Experimental projects: Smallholders.

ETI Events: Seminars: Smallholder guidelines UK launch seminar.

ETI Events: Conferences: Biennial conference 2005: Workshop - Smallholders