Home + Ethical Trade about ETI activities events resources
ETI logo - click for Home Page Randomly generated header image
Google logo
this site:

ETI commits to activities to develop the ability of key local organisations to identify & pursue sustainable solutions to specific labour rights issues known to be a problem.”
— ETI Strategy 2005-2008

members only
login  • site map • contact • help  es
SIMPLE SITE - click for Home Page with menus

RIPOTA ZA ETI 2005

mwongozo wa ETI kwa wakulima wadogo
mapendekezo ya kufanya kazi na wakulima wadogo

Detailed contents (Yaliyomo)

This is the full contents page of the printed version. The downloads available from this website include everything except for the photobook (which is on the CD version only) - samples are included as Toolkit section G.

Huu mpangilio wakusudiwa kufaidisha yeyote kutambua kwa urahisi sehemu za kitabu ambazo ni za maana kwake:

  1. 1-3. Watumizi wotei
  2. 4. Wauza wa rejareja
  3. 5. Wanunuzi
  4. 6. Wakulima wadogo
  5. 7. Vyama vya wafanya kazi
  6. 8. Mashirika ambayo si ya kiserikali
  7. 9. Watumizi wotei

Yaliyomo

  1. Introductory material
    • Kuhusu ETI
    • Vifupisho
    • Faharasa
  1. Kuhusu mwongozo huu
    1. 1.1 Hadhira lengwa ya mwongozo huu
    2. 1.2 Kwanini tunauhutaji mwongozo huu
    3. 1.3 Jinsi mwongozo huu ulivyotengenezwa
    4. 1.4 Hadhi ya mwongozo huu
    5. 1.5 Marejeleo
  2. Usuli: Wakulima wadogo na mtungo wa ugavi
    1. 2.1 Kufasili maana ya wakulima wadogo
    2. 2.2 Mifano ya mitungo ya ugavi unaohusu wakulima wadogo
    3. 2.3 Vipaumbele na matatizo ya wakulima wadogo
    4. 2.4 Matatizoya wakulima wadogo/wafanyi kazi
  3. Insi ya kutumia mwongozo huu
    1. 3.1 Mawanda ya mwongozo huu
    2. 3.2 Mtazamo wa ETI
      1. 3.2.1 Mtazamo wa asteaste
      2. 3.2.2 Kupita viwango vya chini kabisa
    3. 3.3 Mfumo wa utekelezaji
      1. 3.3.1 Utekelezaji wa hatua kwa hatua
    4. 3.4 Kusimamia viwango vya kazi vya wakulima wadogo na wafanyi kazi wao
      1. 3.4.1 Je, ukaguzi wa kazi unawafaa wakulima wadogo?
      2. 3.4.2 Gharama za ukaguzi wa wastani
      3. 3.4.3 Uhusiano baina 'kazi inayotimiza matarajio'na riziki za wakulima wadogo na Wafanyi kazi
      4. 3.4.4 Uwezo wa wakulima wa kutekeleza mabadiliko
      5. 3.4.5 Mtazamo wa makadirio ya mahitaji
  4. Yale ambayo wauzaji wa rejareja wanaweza kufanya
    1. 4.1 Wajibika
    2. 4.2 Fahamisha kila mtu juu ya wajibu wako
    3. 4.3 Chunguza wakulima wadogo walio katika mifungo yako ya ugavi
    4. 4.4 Saidia wagawaji wako katika kutekeleza mwongozo huu
    5. 4.5 Uunge mkono kuendelea kwa ugavi wa mazao ya wakulima wadogo
    6. 4.6 Zingatia taratibu zako za uwekaji bei na uagizaji
    7. 4.7 Imarisha uwezo wa wagawaji na wakulima wako wadogo
  5. Yale ambayo wanunuzi wanaweza kufanya
    1. 5.1 Kadiria rasilimali zako
    2. 5.2 Wasiliana na wenzako na utafute ushauri
    3. 5.3 Jenga mfumo wa kumbukumbu
    4. 5.4 Wapange wakulima wadogo katika makundi
    5. 5.5 Tengeneza mpango wa utendaji na ratiba
    6. 5.6 Wahamasishe wakulima wadogo kuboresha viwango
    7. 5.7 Kufanya kazi na wakulima wadogo: Tafiti mbalimbali
  6. Yale ambayo wakulima wadogo wanaweza kufanya
    1. 6.1 Kuhusu viwango vya kimataifa vya kazi
    2. 6.2 Jinsi viwango hivi vya kazi vinavyoweza kukusaidia wewe binafsi na biashara yako
    3. 6.3 Utafaidika vipi kwa kufanya kazi na wanunuzi wako?
    4. 6.4 Yale ambayo wanunuzi wako huenda wakakutaka ufanye
    5. 6.5 Yale unayoweza kufanya sasa
  7. Yale ambayo vyama vya wafanya kazi vinaweza kufanya
    1. 7.1 Usuli
    2. 7.2 Kuwapanga wakulima wadogo
    3. 7.3 Kujenga miungano
    4. 7.4 Jinsi ya kuwapanga wakulima wadogo kwa namna ya kudumu
    5. 7.5 Tafiti mbalimbali
    6. 7.6 Ajira ya watoto
  8. Yale ambayo mashirika yasiyo ya kiserikali yanaweza kufanya
    1. 8.1 Usuli
    2. 8.2 Mashauri kuhusu dhima ya mashirika yasiyo ya kiserikali
    3. 8.3 Mashauri ya mashirika yasiyo ya kiserikali kuhusu utendaji bora wa kazi
      1. 8.3.1 Ujira na bei
      2. 8.3.2 Mapato halisi na uwezo wa kupata mkopo
  9. Zana za kazi
    1. Kutumia mfumo wa kimsingi wa kanuni wa ETI kwa wakulima wadogo
      1. A.1 Ni nani anayehitaji kuhusishwa na kwa namna gani
      2. A.2 Mfumo wa matumizi
    2. Zana za makadirio ya mahitaji na vipaumbele
      1. B.1 Utangulizi wa hadidu za rejea
      2. B.2 Ni nani anayestahili kufanya uchunguzi huo?
      3. B.3 Utangulizi wa mkadiriaji
      4. B.3.1 Usuli na lengo la ukadiriaji
      5. B.4 Mfano wa hojaji za kutumiwa na wakulima wadogo
      6. B.5 Mwongozo wa mjadala baina ya kikundi cha wanamaoni na wakulima wadogo
      7. B.6 Mwongozo wa mjadala baina ya kikundi cha wanamaoni na wafanya kazi
    3. Kutumia mfumo wa utekelezaji kukadiria hali za kikazi za wakulima wadogo na wafanya kazi
      1. C.1 Utangulizi
      2. C.2 Ajira imechaguliwa kwa namna huu
      3. C.3 Uhuru wa kuungana na haki ya makubaliano ya pamoja zinaheshimiwa
      4. C.4 Hali ya kikazi ni salama na safi
      5. C.5 Ajira ya watoto haitatumiwa
      6. C.6 Ujira wa maisha unalipwa
      7. C.7 Masaa ya kazi hayazidishwi
      8. C.8 Hakuna ubaguzi wo wote unaotekelezwa
      9. C.9 Ajira ya kawaida inatolewa
      10. C.10 Hakuna kutendewa mambo ya kikatili au yasiyo ya huruma
      11. C.11 Utaratibu wa malalamiko
      12. C.12 Mfumo wa kanuni za utekelezaji
    4. Sampuli ya barua na hojaji za wauzaji wa rejareja kwa wagawaji
      1. D.1 Sampuli ya barua
      2. D.2 Sampuli ya hojaji kwa wagawaji
    5. Sampuli ya hati kwa wakulima wadogo na wale wanaonunua moj kwa moja kutoka kwao
      1. E.1 Sampuli ya mkataba baina ya mkulima na kampuni ya ukuzaji wa maharagwe mabichi
      2. E.2 Kumbukumbu za kuwekwa na wakulima wadogo, watu wa kati kati katika biashara na makampuni ya kununua
      3. E.3 Sampuli ya muundo wa kusimamia na kuweka kumbukumbu kwa wakulima wadogo
      4. E.4 Sampuli ya hatua za kiafya na za kiusalama
    6. Kufanya kazi ili kuboresha maisha: Yale ambayo wakulima wadogo wanahitaji kufah
    7. Kitabu cha picha kitakachotumiwa na wakulima wa
    8. CD Rom ya mwongozo na zana za

 

< back to Downloads

 

image from cover image from cover image from cover